Afisa mwandikishaji wa jimbo la Kwimba na Sumve anpenda kuwajulisha kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba linaanza hivi karibuni. Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura Vituoni, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators. Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo.TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA.pdf
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.