Halmashauri ya wilaya ya kwimba inapenda kuwatangazia wananchi wote kushiriki zoezi la usafi wa mazingira tarehe 25/02/2017 siku ya jumamosi saa 12:30 asubuhi hadi saa 03:30 asubuhi katika kituo cha Afya Ngumo.Kila mwananchi afike akiwa na kifaa cha kufanyia usafi.
Pia napenda kuwafahamisha kuwa mnatakiwa kushiriki shughuli hii wote kwa pamoja.
Tafadhali fika bila kukosa
Imetolewa na:- KITENGO CHA TEHAMA NA UHUSIANO
HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.