English
Swahili
Mawasiliano
|
Maswali ya Mara kwa Mara
|
Barua Pepe
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Dira na Dhamira
Orodha ya viongozi
Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
Orodha ya waheshimiwa Madiwani
Orodha ya wakurugenzi
Muundo wa Halmashauri
Utawala
Muundo wa Utawala
Idara
Utumishi na Utawala
Fedha na Biashara
Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
Mifugo na Uvuvi
Ardhi na Maliasili
Maendeleo ya Jamii
Mazingira na Usafi
Afya na Ustawi wa Jamii
Elimu Msingi
Elimu Sekondari
Ujenzi
Vitengo
Sheria
Ugavi
Uchaguzi
Kitengo cha Taka na Usafi
Ukaguzi wa Ndani
Mawasiliano Serikalini
Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
TEHAMA
Huduma Zetu
Maji
Afya
Elimu
Elimu
Mkataba wa Hduma kwa Mteja
Kituo cha Habari
Hotuba
Picha
Video
Habari
Machapisho
Fomu
Investment Opportunity
Miradi
Miradi inayoendelea
Miradi iliyokamilika
Ardhi na Maliasili
Idara ya Ardhi na Mali Asili
Kazi za Idara
Kuratibu na kudhibiti uendelezaji wa Miji na Vijiji.
Kuratibu uandaaji wa Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi Vijijini na Mijini.
Kujenga uwezo wa kupanga na kutekeleza majukumu ya uendelezaji ardhi kwenye Halmashauri.
Kuelimisha jamii kuhusu Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi.
Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Mipango ya Ardhi.
Kubaini fursa na vikwazo vya uendelezaji.
Kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa mipango ya Miji na Vijiji inayoandaliwa.
Kusimamia uendelezaji wa maeneo ya makazi.
Kushughulikia maombi ya mabadiliko ya matumizi ya kiwanja, muunganiko/mgawanyo wa kiwanja.
Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la Ardhi.
Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta
Kupokea maombi na kufanya uthamini chini ya usimamizi wa Mthamini aliyesajiliwa
kukagua, kupima na kuoanisha thamani ya majengo na ardhi kwa ajili ya kumbukumbu(Data Bank)
Kufanya uthamini wa malipo ya fidia, kodi za nyumba, rehani, bima, mizania (Balance sheet) na mauzo ya mali
Kuandaa maeneo ya kusimika alama za msingi za upimaji
Kutayarisha michoro ya utambuzi (Description diagrams)
Kupokea na kuhakiki picha za anga kutoka kwa mkandarasi.
Kufanya upimaji, mahesabu na kuandaa taarifa za kazi (Demarcation, coordination, computation and compilation).
Kuchora plani za upimaji (Survey plan)
Kuchora plani za Hati (Deed plan)
Kuingiza taarifa za upimaji kwenye kompyuta (alpha numeric data)
Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye compyuta.
Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment)
Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
Kutunza kumbukumbu za picha za anga
Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauge (Hydrographic survey)
Kufanya kazi za nje ya ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.
Kutoa huduma kwa wateja (customer services)
Kukagua masuala ya upimaji katika Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya (technical auditing)
Kupokea na kushughulikia maombi ya upimaji picha anga.
Kufanya maandalizi ya upimaji wa majini.
Kuchambua na kuchunguza taarifa mbalimbali (data analysis)
Kusimamia upimaji wa kumbukumbu (data bank)
Kuchambua na kuchunguza matokeo ya kazi za upimaji na kutayarisha taarifa ya kiufundi.
Kusimamia mfumo wa utayarishaji ramani kwa kompyuta.
Kushauri Halmashauri kuhusu masuala ya upimaji na utayarishaji ramani.
Kukagua kazi za upimaji na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani
Kufanya ubunifu wa ramani mpya
Kutoa ushauri kwa wateja kwa ajili ya ramani maalum (thematic map)
Kufanya operasheni za upimaji
Kufanya uchambuzi wa takwimu (data processing and analysis)
Kutayarisha alama za upimaji (survey plan beacons)\
Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji, vifaa vya upimaji na mahitaji ya jumla.
Kuandaa na kuchambua vifaa kwa ajili ya utayarishaji ramani.
Kuchambua, kushona, kukata na kuunganisha nyaraka zilizochapwa. Doria kusimamia sheria, taatibu na miongozo ya Idara.
Kulinda maisha ya wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori waharibifu na wakali.
Kutoa elimu ya uhifadhi, usimamizi na matumizi endelevu ya wanyama pori.
Ukusanyaji maduhuli na kazi za utawala.
Matangazo
TANGAZO LA KUPANGISHA CHOO MNADA WA NGUDU
October 17, 2024
TANGAZO LA AJIRA
November 04, 2024
TANGAZO LA SHULE KWIMBA ENGLISH MEDIUM
December 04, 2024
TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU
October 07, 2024
Onyesha zote
Habari Mpya
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YASISITIZA KUCHAGUA NJIA SAHIHI YA KUJIKINGA
December 01, 2024
WANANCHI WA KWIMBA WAHAMASISHWA KUCHAGUA VIONGOZI BORA WA SERIKALI ZA MITAA
November 23, 2024
RC MTANDA WATAKA WAKULIMA KUZINGATIA KANUNI ZA UZALISHAJI WA ZAO LA PAMBA
November 18, 2024
WAKULIMA WA PAMBA WATAKIWA KUZINGATIA KANUNI ZA KILIMO CHA PAMBA
November 14, 2024
Onyesha zote