• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI AAGIZA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 KURIPOTI SHULENI KWA WAKATI

Posted on: December 27th, 2022

“Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza waripoti shuleni wote asiwepo mtu wa kusingizia hana sare za shule au madaftari”


Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi leo tarehe 27,Disemba 2022 kwenye ziara yake iliyolenga kukagua utekelezani wa miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya ujenzi wa madarasa katika Shule za Sekondari na ujenzi wa vituo vya Afya.


Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya amewaelekeza wenyeviti wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanafunzi wote wanaripoti shuleni na atakayezembea kusimamia wanafunzi hao hatua za kisheria zitachuliwa dhidi yake.


Aidha Mheshimiwa Samizi ameshauri wanafunzi wanaosoma Shule ya Sekondari Maligisu wanaotokea samilunga na maeneo jirani wahamishiwe katika Shule mpya ya Sekondari  Samilunga ili kuwapunguzia umbali wanaotembea kwenda Maligisu.


Akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Sumve kinachojengwa kwa fedha za mapato ya ndani amepongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo. Vilevile Mkuu huyo amesisitiza huduma za Afya zianze kutolewa katika Kituo cha Afya Kadashi ili wananchi wa kata hiyo waepukane na kutembea umbali mrefu kutafuta  huduma za Afya.


Katika ziara hiyo  Mkuu wa Wilaya akiwa ameambatana na kamati ya Usalama na Wataalam wa Halmashauri wamekagua Shule za sekondari  Samilunga,Iseni,Tallo,Nyamigamba,kinoja,Sumve na Wala pamoja na Vituo vya Afya  Kadashi, Isunga  na Sumve.

Matangazo

  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YASISITIZA USAWA

    March 08, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YASISITIZA USAWA

    March 08, 2023
  • MKUU WA WILAYA AZINDUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA KADASHI

    March 04, 2023
  • MKUU WA WILAYA AZINDUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA KADASHI

    March 04, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.