• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI ATOA ELIMU YA CHANJO YA UVIKO-19 KWA WANANCHI

Posted on: October 5th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi akiwa ameambatana na kamati ya hamasa ya utoaji wa elimu ya  Chanjo ya UVIKO-19 ya Mkoa na Wilaya  wametoa elimu ya umuhimu wa chanjo  hiyo  kwa wananchi wa Kata ya Mantare kijiji cha Mwampulu na Mwanekeyi, Kata ya Bungulwa na Walla ambapo baada ya Wananchi kupata elimu hiyo watu 30 wamejitokeza kupata chanjo ya virusi vya corona.Elimu hiyo imetolewa leo tarehe 05,Oktoba 2021.


Akiongea na Wananchi Mkuu wa Wilaya amesema chanjo ni salama hivyo wasiogope kuchanjwa kwani kila Mwananchi anapaswa kulinda Afya yake.


 "kufa kupo ila hatupaswi kufa kizembe  hivyo ni muhimu kuchanja ili kujihakikishia usalama wa Afya" amesema Samizi


Aidha akiongea na vijana waendesha Pikipiki amewashauri kutosikiliza maneno yasiyo sahihi yanayowafanya wahofie usalama wa Afya zao baada ya kuchanja.Amewahakikishia kuwa chanjo ni salama na amewashauri wachanje kwa kuwa kazi yao inawafanya kukutana na watu wengi wanaotoka maeneo tofauti hivyo kuna uwezekano mkubwa wa  kupata maambukizi.


Baada ya kuchanja  Wananchi hao  wamepatiwa kadi zinazoonyesha kuwa wamejikinga na virusi vya corona.


Matangazo

  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • DC SAMIZI AAGIZA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 KURIPOTI SHULENI KWA WAKATI

    December 27, 2022
  • DC SAMIZI AAGIZA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 KURIPOTI KWA WAKATI SHULENI

    December 27, 2022
  • MADIWANI WANG'AKA WATAKA WADAIWA SUGU FEDHA ZA MIKOPO 10% KUKAMATWA

    December 15, 2022
  • WATOA HUDUMA ZA MAJI WATAKIWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAJI

    December 14, 2022
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.