• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KAMATI YA FEDHA YATEMBELEA MGODI WA DHAHABU MHALO-KWIMBA.

Posted on: May 21st, 2020

Kamati ya fedha,uongozi na mipango imefanya ziara katika mgodi wa madini Mhalo tarehe 21,May 2020 ili kuona jinsi mgodi huo unavyofanya kazi na jinsi  wananchi wa eneo hilo wanavyoshiriki katika kazi hio.Kamati imetaka kujua kama mgodi huo  unazingatia utunzaji wa mazingira na ulipaji wa kodi ya dhahabu hiyo.Mgodi una miaka 2 tangu uanzishwe na unamilikiwa na kikundi cha Mhalo mining group, Katibu wa mgodi ndugu. Sabana L.Salinja  ameeleza  jinsi mgodi unavyofanya kazi kuanzia uchimbaji hadi kupata madini. Mgodi umeweza kutoa huduma za kijamii katika kijiji hicho ikiwa ni pamoja na kujenga ofisi ya kata,kuchangia saruji katika ujenzi wa madarasa ya shule,kuwalimia wazee hekari 12 za dengu na kwa sasa mgodi unajiandaa kujenga zahanati ya kijiji.Baada ya kupata maelezo hayo kamati imewataka viongozi wa kijiji na kata kusimamia kwa ufasaha mgodi huo ili kudhibiti utoroshwaji wa madini, ili kuongeza pato la Halmashauri.Aidha kamati imeshauri wawekezaji waongezeke katika mgodi huo ili kuongeza uzalishaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA TIBA KINGA YA POLIO May 12, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WADAU WA PAMBA WATAKIWA KUZINGATIA TARATIBU ZA UNUNUZI WA ZAO HILO

    May 24, 2022
  • WANANCHI WAHIMIZWA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI

    May 18, 2022
  • DC KWIMBA AZINDUA UTOAJI KINGA TIBA YA POLIO

    May 18, 2022
  • DC KWIMBA AZINDUA UTOAJI KINGA TIBÀ YA POLIO

    May 18, 2022
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.