• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KUMBUKUMBU YA MIAKA 23 YA HAYATI MWALIMU JK NYERERE

Posted on: October 14th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba inaendeleo kuenzi fikra za Rais wa awamu ya kwanza Hayati Mwalimu JK Nyerere katika kupambana na ujinga , maradhi na umasikini. Ili kuhakikisha haya yanafanikiwa Halmashauti imekuwa ikiweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya Elimu na Afya ili kutokomeza ujinga na kuwahakikishia Wananchi  upatikanaji wa huduma bora za Afya.


Katika kutekeleza hilo miundombinu ya Shule inaendelea kuboreshwa, na miundo mbinu ya Vituo vya kutolea huduma za Afya inaboreshwa katika kata zote za Wilaya ya Kwimba.


Kupinga umaskini imekuwa ni agenda ya kudumu katika Halmashauri ya Kwimba, katika kufanikisha hilo mikopo ya asilimia kumi ya mapato ya ndani imeendelea kutolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ili kuhakikisha vijana  wanafanya kazi za kuwaongezea kipato na kujikomboa na umasikini.

Baba wa Taifa tutaendelea kuenzi fikra zako.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAFUNZO YA MFUMO WA UPIMAJI

    December 04, 2023
  • DED MSANGA AWAPONGEZA WAHITIMU KIDATO CHA NNE BISHOP MAYALA

    December 02, 2023
  • TUSHIRIKIANE KUZUIA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI " DC SENYI"

    December 01, 2023
  • MKUU WA MKOA WA MWANZA AZINDUA MIUNDOMBINU YA MABWENI MWAMASHIMBA NA SHULE MPYA YA MWALULYEHO

    November 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.