• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MAKARANI WA SENSA WAAPISHWA

Posted on: August 15th, 2022


Kuelekea siku ya Sensa ya Watu na makazi Makarani wa Sensa watakiwa kufanya kazi kwa weledi, uzalendo, uwajibikaji na uaminifu. Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi wakati makarani hao wakiapishwa leo tarehe 15,Agosti 2022

 Mheshimiwa Samizi amesisitiza kuwa Kazi ya Sensa ni kazi ya kizalendo, nikazi inayohitaji umakini wa hali ya juu ili kupata takwimu zitakazosaidia Serikali kupanga mikakati ya maendeleo kulingana na idadi ya watu.

“Tanzania niyakwetu sote tushirikiane kuijenga kwa kuleta takwimu sahihi siku ya sensa, kwahiyo nasisitiza mkafanye kazi kwa uaminifu, uadilifu na uwajibikaji, sitarajii kasoro yoyote kujitokeza kwenye zoezi hili” amesema Samizi 


Kazi ya kuapishwa makarani imefanyika katika Tarafa zote za Wilaya ya Kwimba ambapo kila Tarafa inakituo kimoja cha kutolea mafunzo kwa makarani.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AMTAKA MKANDARASI KUKAMILISHA JENGO LA UTAWALA KABLA YA DISEMBA 30

    November 28, 2023
  • MKUU WA MKOA WA MWANZA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KWIMBA

    November 27, 2023
  • UZINDUZI WA KUTOA DAWA ZA KICHOCHO NA MINYOO KWA WATOTO

    November 23, 2023
  • WAFANYABIASHARA WASHAURIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

    November 20, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.