• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA MKOA AHIMIZA ELIMU YA MIKOPO YA HALMASHAURI ITOLEWE KWA WANANCHI

Posted on: May 16th, 2022

" Wataalam tuwaze kwa niaba ya vikundi, tuwasaidie kujua kitu gani wafanye ili fedha wanayokopa iweze kuwainua kiuchumi"


Haya yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel wakati wa mafunzo ya kujenga uwezo wa uratibu na usimamizi wa mfuko wa maendeleo ya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu unaotokana na asilimia kumi ya mapato ya ndani yaliyofanyika leo tarehe 16 May, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.


Mhandisi Gabriel amesisitiza  kuwa elimu itolewe kwa vikundi vinavyohitaji kukopa ili wanapopata mikopo wajue namna nzuri ya kwenda kuizarisha hiyo  fedha ili iwasaidie kujikwamua kimaisha. Pia amewataka Wataalamu kutoa ushauri kwa vikundi na kuwasimamia katika kazi wanazozifanya ili kuhakikisha fedha hizo zinafanya kazi iliyokusudiwa. Aidha Mkuu huyo amesisitiza ushirikiano kwa viongozi wote ndani ya Wilaya hiyo na amewataka viongozi hao kutimiza wajibu wao ili kupata matokeo chanya ya kazi zao.


"bila jasho huwezi kupata matokeo chanya, niwaombe mkafanye kazi kila kiongozi kwa nafasi yake tutafanikiwa" amesema Mhandis Gabriel


Naye Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi baada ya mafunzo hayo amewaelekeza viongozi wote kwenda kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, taratibu na miongozo ili kufikia malengo yaliyokusudiwa


"tuache kufanya kazi kwa mazoea kila siku nasisitiza tufanye kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo iliyowekwa"


Wajumbe wa mafunzo hayo wakiwemo Waheshimiwa Madiwani  Wamemshukuru Mkuu wa Mkoa kwani kupitia mafunzo hayo wameweza kujua sheria zinazotakiwa kuzingatiwa kabla na baada ya kutoa mikopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, vilevile wamefaham kuwa wanao wajibu wa kutoa Elimu kwa Wananchi kuhu mikopo  inayotolewa na Halmashauri inayotokana na asilimia kumi ya mapato ya ndani.



Matangazo

  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • DC SAMIZI AAGIZA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 KURIPOTI SHULENI KWA WAKATI

    December 27, 2022
  • DC SAMIZI AAGIZA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2023 KURIPOTI KWA WAKATI SHULENI

    December 27, 2022
  • MADIWANI WANG'AKA WATAKA WADAIWA SUGU FEDHA ZA MIKOPO 10% KUKAMATWA

    December 15, 2022
  • WATOA HUDUMA ZA MAJI WATAKIWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAJI

    December 14, 2022
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.