• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

"NINAIMANI NA WALIMU" DC LUDIGIJA

Posted on: April 13th, 2023

" ninaimani kubwa sana na Walimu wote"  haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija katika kikao kazi cha Walimu wa Tarafa ya Ngula kilichofayika April 13,2023 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Sumve

"ninaimani na walimu wote kwasababu sisi wote ni zao la walimu bila ninyi hakuna taaluma, kwahiyo tunathamini kazi kubwa ambayo mnaifanya na kila  mmoja kwa nafasi yake endeleeni kutekeleza wajibu wenu" amesema Ludigija


Walimu hao wametakiwa kuendelea kufundisha kwa kuzingatia taratibu,sheria na kanuni zinazoongoza kazi hiyo,pia wameshauriwa kuitendea haki kazi yao kwa kuhakikisha wanaongeza ufaulu wa wanafunzi.


Mkuu huyo amesisitiza kuwa kazi ya ualimu ni kazi ya heshima hivyo Walimu waendelee kuiheshimisha kazi hiyo kwa kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haiba ya mavazi na tabia njema katika jamii.


Katika kikao hicho ameshiriki Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi.Happiness Msanga ambaye amewataka Walimu kufanya kazi kwa kuzingatia sheria,taratibu na kanuni za utumishi

"zingatieni miiko  ya utumishi na uwajibikaji kwa mwalimu unaonekana sana kwasababu mwalimu anapimwa kwa kuangalia mwanafunzi  anayemfundisha mtoto akishida hapo mwalimu anaonekana anafanya kazi kwihiyo  fanyeni kazi, pia acheni utoro " amesema Msanga


Walimu hao wamefurahia kushiriki kikao kazi hicho kwani wamepata nafasi ya kuwasilisha kero zao na zikatolewa majibu,pia wameshauri vikao hivyo vifanyike marakwamara ili visaidie kutatua changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo katika utumishi

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • AJIRA MPYA June 08, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA WILAYA YAKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 19, 2023
  • DC AKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 14, 2023
  • VODACOM WAKABIDHI MATUNDU 14 YA VYOO SHULE YA MSINGI MWALUJO

    September 08, 2023
  • ZIARA YA MAFUNZO MIKUMI

    August 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.