• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA WILAYA APANDIKIZA VIFARANGA VYA SAMAKI BWAWA LA MAHIGA

Posted on: October 26th, 2020

Mhe.Senyi S. Ngaga Mkuu wa Wilaya ya Kwimba amepandikiza vifaranga elfu ishirini vya samaki aina ya sato katika bwawa la maiga Wilayani Kwimba,vifaranga hivyo vimetolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 26/10/2020.

Akiongea na wananchi waliohudhuria tukio hilo amewataka kulinda bwawa hilo ili samaki hao waweze kukua na wavuliwe kwa wakati sahihi.

Juhudi hizi za kutaka kuongeza upatikanaji wa samaki Wilayani hapa zinatokana na uhitaji wa samaki kuwa mkubwa kuliko upatikanaji wake,Wilaya ya Kwimba iko Mkoa wa Mwanza, Mkoa ambao unaziwa kubwa lakini Wilaya hii Haina ziwa wala mto mkubwa hivyo viongozi wa Wilaya hii wameona watumie fursa ya  bwawa hilo la maiga kufugia samaki ili kuongeza kitoweo hicho Wilayani hapa pamoja na kuongeza mapato ya Halmashauri.


Wataalamu wa mifugo waliohudhuria tukio hilo wamesema samaki hao watakuwa tayari kuvunwa baada ya miezi 6 na kuendelea

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • AJIRA MPYA June 08, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MGOGORO WA VIBANDA WAPATIWA UFUMBUZI KUPITIA UTATUZI WA KERO ZA WANANCHI

    September 29, 2023
  • KERO ZA WANANCHI ZAENDELEA KUTATULIWA

    September 26, 2023
  • MKUU WA WILAYA AKEMEA UNYANYASAJI KWA WAJANE

    September 25, 2023
  • MKUU WA WILAYA AKEMEA UNYANYASAJI KWA WAJANE

    September 25, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.