• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAFANYABIASHARA WASHAURIWA KUGEUZA CHANGAMOTO KUWA FULSA

Posted on: April 8th, 2022


Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi amewashauri wafanyabiashara na wajasiliamari kugeuza changamoto kuwa fulsa. Ameyasema hayo kwenye balaza la Wafanyabiashara lililofanyika tarehe 8,Aprili 2022 kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu.


Mkuu huyo amesema Wilaya ya Kwimba inayo maeneo makubwa ambayo yanatosha kuanzisha viwanda vya kuchakata mazao na bidhaa mbalimbali, hivyo amewashauri wafanyabiashara kuchukua changamoto za ukosefu wa bidhaa mbalimbali kama fulsa ya kuanzisha viwanda vitakavyopelekea upatikanaji wa bidhaa hizo.


Pia  amesisitiza kuwa Wananchi wapewe Elimu juu ya umuhimu wa kilimo cha zao la Alizeti ili zao hilo lilimwe kwa wingi ili wafanyabiashara wanapoamua kuanzisha mashine za kukamua mafuta ya Alizeti maligafi iwepo.


"tuhamasishane kwamba pamoja na kulima mazao mengine kama Pamba, choroko, dengu na Mpunga tulime na alizeti kwa wingi tena iwekwe sheria ya kila kaya kulima heka mbili za Alizeti"


Katika balaza hilo wadau wa biashara wakiwemo wawakilishi wa Taasisi za Kibenk wamewashauri wafanyabiashara na wakulima kufika benki ili kupata mikopo yenye lengo la kumuinua Mkulima na mfanyabiashara wa bidhaa zitokanazo na kilimo.


Aidha Mkuu wa Wilaya ameshauri wafanyabiashara ndogondogo  kuwekewa miundombinu wezeshi kama umeme, mpangilio mzuri wa vibanda ili kuwarahisishia biashara zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2022/23

    May 19, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

    May 16, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.