• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAHITIMU WA CHA CHUO MAENDELEO YA WANANCHI MALYA WAONYESHA UJUZI WALIOUPATA

Posted on: November 12th, 2021

Viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya  wamefanya mahafali ya 44 ambapo katika mahafali hiyo jumla ya wanachuo 237 wamehitimu. Katika mahafali hiyo iliyofanyika  tarehe 11/11/2021 wahitimu  wameweza kuonyesha ujuzi wa fani mbalimbali wanazofundishwa chuoni hapo.


Wahitimu wa ufundi wa magari wameweza kuonyesha jinsi ya kutengeneza magari mabovu, waliojifunza umeme wameonyesha jinsi wanavyoweza kufunga umeme wa viwandani na majumbani na wahitimu wa fani nyingine wameonyesha ujuzi walioupata.


Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya kinatoa kozi mbalimbali ikiwemo umeme, ufundi magari, fundi bomba, fundi wa kushona nguo, mifugo, fundi washi na waalimu wa malezi ya watoto wadogo.


Aidha chuo hicho  kinatoa elimu ya Sekondari (elimu haina mwisho yaani QT) kwa wasichana walioshindwa kupata elimu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mimba za utotoni, kusitisha masomo kwa sababu ya ugonjwa au sababu nyingine. Wasichana hao wanapata elimu ya sekondari bure na wanafundishwa na fani nyingine. Elimu hiyo ya sekondari  inatolewa kwa miaka miwili tu ambapo kidato cha kwanza na chapili  wanasoma kwa mwaka mmoja na kidato cha tatu na nne wanasoma mwaka wa pili.


Mgeni rasmi wa Mahafali hayo alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba Ndug. Nyakia Ally  ambaye amemshauri Mkuu wa Chuo Mwalim Frenk J Igembe kuanzisha Shule ya msingi kwamaana ya ( english medium ) kwa sababu walimu anawatengeneza yeye mwenyewe, pia ameshauri na fani nyingine ziongezwe na hizo zilizopo ziendelee kutoa wataalam wa kutosha ili wakafanye kazi za kuleta maendela kwenye Taifa letu.



Matangazo

  • TANGAZO LA TIBA KINGA YA POLIO May 12, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WADAU WA PAMBA WATAKIWA KUZINGATIA TARATIBU ZA UNUNUZI WA ZAO HILO

    May 24, 2022
  • WANANCHI WAHIMIZWA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI

    May 18, 2022
  • DC KWIMBA AZINDUA UTOAJI KINGA TIBA YA POLIO

    May 18, 2022
  • DC KWIMBA AZINDUA UTOAJI KINGA TIBÀ YA POLIO

    May 18, 2022
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.