• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAKULIMA WATAKIWA KUTOCHANGANYA PAMBA NA MAZAO MENGINE

Posted on: November 9th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Samizi amewataka wakulima kutochanganya mazao mengine na Pamba. Ameyasema hayo jana  tarehe 08/11/2021 baada ya kutoa Elimu ya kilimo cha Pamba kwa Wananchi wa  Kata za Lyoma, Mwankulwe na Mwakilyambiti


Mheshimiwa Samizi amesisitiza hilo baada ya Balozi wa Pamba Mhe. Aggrey Mwanri kuwafundisha Wakulima kutochanganya zao la Pamba na mazao mengine, kwani kuchanganya pamba na mazao mengine kunapelekea wadudu wanaoshambulia mazao hayo kushambulia na Pamba.


Mheshimiwa Aggrey Amesema kama wakulima watachanganya Pamba na mazao mengine hawataweza kufikia lengo la kupata kilo 2500 kwa Ekari moja kwani kuchanganya mazao kunaifanya pamba inashindwa kukua na kuongeza vitumba vingi zaidi kwa mche mmoja.


Aidha Mhe.Aggrey amewafundisha Wananchi kanuni kumi za kilimo bora cha Pamba ikiwa ni kutayarisha shamba mapema,Tumia mbolea na virutubisho vingine,Panda Pamba mapema,Panda kwa mistari na kwa vipimo vya  sentimita 60 kwa 30 ,Panda idadi halisi ya mbegu katika kila shimo( mbegu tatu hadi tano),Punguzia miche,Palilia kwa wakati,Nyunyizia madawa kuzuia wadudu,Vuna pamba mapema na chambua na Ng'oa na choma moto masalia yote ya pamba.


Matangazo

  • TANGAZO LA TIBA KINGA YA POLIO May 12, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA DATA CLERK OFFICER June 03, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO July 06, 2022
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA MWANZA AFANYA ZIARA KWIMBA

    August 05, 2022
  • MKUU WA MKOA WA MWANZA AFUNGUA MAONYESHO YA NANENANE

    August 04, 2022
  • WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUTEMBELEA MAONYESHO YA KILIMO NA MIFUGO

    August 01, 2022
  • WANANCHI WASHIRIKI UCHIMBAJI WA MSINGI WA MADARASA 14

    August 01, 2022
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.