• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WALIMU WAPATA MAFUNZO YA KUSIMAMIA KAZI ZA ELIMU

Posted on: August 16th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija akifungua semina za Walimu wanaotarajia kusimamia kazi mbalimbali za Elimu ikiwa ni pamoja na usimamizi wa mitihani  Leo 16 Agosti,2023 amesisitiza uadilifu,uaminifu na umakini wakati wa shughuli za Kitaifa.


Mkuu huyo amewataka Walimu kusimamia kwa weledi na kutowatisha wanafunzi wakati wa mitihani " msiwatishe wanafunzi kwa maneno makali wakati mwingine vitisho vinasababisha mwanafunzi anasahau mambo yote aliyosoma"  Ludigija


Katika semina hiyo ameshiriki Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga ambaye amewataka Walimu kuwa makini na kuhakikisha hakuna kuruhusu wanafunzi kuangalizia


" ni marufuku wanafunzi kuangaliziana, Kwimba hatuna historia ya wanafunzi kuibia mitihani na hatutarajii kuwa na sifa hiyo, waacheni wanafunzi wavune walichokipanda" amesema Msanga


Naye Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Mwalimu Mkwabi amewaelekeza Walimu kutimiza wajibu wao kama watakavyoelekezwa na wataalamu waliokuja kutoa mafunzo hayo, pia amesisitiza umakini na utulivu wakati wote wa mafunzo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AMTAKA MKANDARASI KUKAMILISHA JENGO LA UTAWALA KABLA YA DISEMBA 30

    November 28, 2023
  • MKUU WA MKOA WA MWANZA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KWIMBA

    November 27, 2023
  • UZINDUZI WA KUTOA DAWA ZA KICHOCHO NA MINYOO KWA WATOTO

    November 23, 2023
  • WAFANYABIASHARA WASHAURIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

    November 20, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.