• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WALIMU WAPATA MAFUNZO YA MADENIMIS

Posted on: October 7th, 2020

Akifungua mafunzo Ndug. Joshua Mgoli Afisa Utumishi(W) amesema MADENIMS  (MADENI MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM) ni mfumo wa kuingiza madeni yasiyo ya mshahara kwa kada ya walimu,mfumo huu unamuwezesha kila Mwalimu kuwa na akaunti ya kuingiza madeni kwa mfano madeni ya likizo,uhamisho na kazi nyingine hivyo mtumishi huyu anayaandika na kumtumia mkuu wake wa kazi kwa ajili ya utekelezaji.Afis Utumishi amewataka walimu waliopata mafunzo hayo kuwa mabalozi kwa walimu wengine ili kila Mwalimu ajue kuutumia mfumo huo ili uwasaidie kutuma madeni yao.


Mfumo huo umeonekana kuwa mzuri kwani unamuwezesha mtumishi kuangalia kama madai yake yameshafanyiwa kazi  au la na hivyo mtumishi huyu anajua madai yake yanakwama ofisi gani hivyo kumpa urahisi wa kufatilia.


Wawezeshaji wa mafunzo hayo maafisa TEHAMA Ndug.William Kasuja na Emmanuel Magobo  wamewasisitiza walimu hao kwenda kufanya kazi hiyo kulingana na mafunzo waliyoyapata pia wamewasisitiza walimu Wakuu kutochelewesha madai hayo pindi walimu wanapotuma madeni hayo Walimu wakuu wanapaswa kuyafanyia kazi na kisha kuyatuma kwa Afisa Elimu naye akishafanyia kazi anatuma sehemu husika kwaajili ya mwendelezo wa uhakiki na malipo.

Walimu hao wamesema mfumo huo ni mzuri kwani utawawezesha kuweka madai  ya miaka iliyopita ili yaweze kufanyiwa kazi, vilevile wamesema mfumo huu Kama utafanya kazi Kama mafunzo yalivyoelekeza utasaidia madeni mengi kulipwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2022/23

    May 19, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

    May 16, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.