• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANAWAKE WAWILI WAUWAWA KWA KUKATWAKATWA NA KITU CHENYE NCHA KALI

Posted on: April 29th, 2022


Wanawake wawili wa Kijiji cha Malemve kitongoji cha Mwang'alanga wameuliwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali usiku wa kuamkia leo tarehe 29 Aprili,2022.Akiongea kwa maskitiko Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema waliofariki ni Mama na Binti yake waliojulikana kwa majina ya Shikalile Masala miaka 75 na Mariam Deogratias miaka 36.


Kwa mujibu wa maelezo ya Watoto walioshuhudia tukio hilo wanasema watu walimavia nyumba hiyo wakamuua mama yao kwanza kisha wakamuua Bibi yao.


Kutokana na tukio hilo Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Mhe.Johari Samizi ambaye ni  Mkuu wa Wilaya ya Kwimba amefika mahali hapo akiwa na Kamati ya Usalama na kuongea na Wananchi wa kijiji hicho.


Mhe.Samizi amekea kitendo hicho  na amelitaka jeshi la police na Sungusungu kushirikiana ili kuwabaini wauaji.


" hiki ni kitendo cha ukatiri uliopitiliza jamani roho haina mbadara,tuwe na hofu ya Mungu hivi hizi Dini zinawasaidia nini?  huyu Bibi alikosea nini hadi auwawe hivi, huyu Mama ameacha watoto wataishije? Sungusungu hakikisheni mnashirikiana na Police  kuwapata walifanya tukio hili" amesema Samizi


Aidha Mkuu huyo amewataka Waganga wa kienyeji wanaofanya ramli chonganishi kuacha mara moja tabia hiyo maana maeneo mengi mauaji yanasabishwa na imani za kishirikina. Pia amewataka Sungusungu kuimarisha ulinzi, na Wananchi kutoa taarifa pindi wanapowaona  watu wasiowafahamu katika maeneo yao na kutoa ushirikiano ili kuwabaini wahalifu wote waliopo kijijini hapo.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2022/23

    May 19, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

    May 16, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.