• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WANUFAIKA WA TASAF WASHAURIWA KUTUMIA FEDHA KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA

Posted on: February 22nd, 2021

Kaya 7841 za wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini  TASAF zanufaika na mpango huo, akiongea na walengwa hao Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Senyi S.Ngaga ambaye amefanya ufuatiliaji kuona zoezi la ugawaji wa fedha hizo linavyofanyika  amewashauri walengwa wa TASAF kuzitumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa.Mhe. Ngaga amesema wanafunzi wanunuliwe mahitaji yao ya Shule kama mpango unavyoelekeza,watoto wanaopaswa kupelekwa kliniki wapelekwe,ujasiliamali mdogomdogo kama ufugaji wa kuku,mbuzi na vitu vingine ufanyike ili familia hizo ziweze kujikwamua kutoka kwenye hali ya umaskini.

Aidha Mkuu wa Wilaya amewashauri walengwa wa TASAF kujiunga na BIMA ya Afya iCHF iliyoboreshwa ili wawe na uhakika wa matibabu pindi wanapopatwa na magonjwa.Walengwa wa TASAF wanaishukuru Serikali kwa mpango huo wa kunusuru kaya masikuni kwani kupitia mpango huo wengi wao wameweza kujenga nyumba na kupaua kwa bati hali hii imewafanya kupiga hatua kutoka nyumba za nyasi hadi za bati.

 Malipo kwa ajili ya mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF  awamu ya tatu  kipindi cha pili dirisha la malipo ya Novemba -Disemba,2020 yamefanyika kuanzia tarehe 13-20/02/2021 katika vijiji vyote vilivyomo kwenye mpango wa TASAF.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • AJIRA MPYA June 08, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA WILAYA YAKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 19, 2023
  • DC AKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 14, 2023
  • VODACOM WAKABIDHI MATUNDU 14 YA VYOO SHULE YA MSINGI MWALUJO

    September 08, 2023
  • ZIARA YA MAFUNZO MIKUMI

    August 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.