• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
  • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WILAYA YA KWIMBA YAONGOZA KWA WANAUME WALIOJITOKEZA KUPIMA VIRUSI NYA UKIMWI CHINI YA MRADI WA BORESHA

Posted on: August 20th, 2021


Akiongea katika kikao cha makabidhiano ya mradi wa boresha kilichofanyika leo tarehe 20 Agosti,2021 kwenye Ukumbi wa Ndilima Hungumalwa, Mkurugenzi wa mradi huo Bi.Saida Salum Mukhi amesema katika Mkoa wa Mwanza ni Wilaya ya Kwimba pekee ambayo wanaume zaidi ya elfu nne wamejitokeza kupima virusi vya UKIMWI choni ya mradi wa boresha ukilinganisha na Wilaya nyingine.


Mkurugenzi huyo ameyasema hayo wakati akitoa maelezo mafupi ya namna mradi wa boresha ulivyofanyakazi, kabla ya kukabidhi mradi kwa muwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mganga wa Wilaya Daktari Elias Misana. Aidha katika tukio hilo muwasilishaji wa taarifa ya mradi Ndug. Respectson Akyoo amesema jumla ya wanaume 4535 wamepima UKIMWI ambapo 590 kati ya hao wamekutwa wameàthirika na wanawake 3355 wamepimwa 497 kati yao wameathirika. Aidha Akyoo ameuomba uongozi wa Wilaya kuuendeleza mradi pale walipoishia ili uhamasishaji kwa wanaume kuhusu kupima UKIMWI uendelee,hamasa kuhusu kuzuia ukatili wa kijisinsia na michezo kwa watoto iendelezwe.


Mradi wa boresha ulikuwa ukifadhiliwa na Shirika la TIP( Tanzania Interfaith Partnership) ambapo mradi huu ulijishughulisha na kutoa elimu juu ya kuzuia ukatili wa kijinsia, kuhamasisha wanaume kupima virus vya UKIMWI, na michezo kwa vijana wa kiume  ambao kupitia michezo hiyo walifundishwa kuwa mabalozi wa kuzuia ukatili kwa watoto wa kike.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAFUNZO YA MFUMO WA UPIMAJI

    December 04, 2023
  • DED MSANGA AWAPONGEZA WAHITIMU KIDATO CHA NNE BISHOP MAYALA

    December 02, 2023
  • TUSHIRIKIANE KUZUIA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI " DC SENYI"

    December 01, 2023
  • MKUU WA MKOA WA MWANZA AZINDUA MIUNDOMBINU YA MABWENI MWAMASHIMBA NA SHULE MPYA YA MWALULYEHO

    November 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.