Posted on: December 1st, 2024
" Ndugu wananchi ugonjwa wa UKIMWI umekuwa ni tishio kubwa sana na Serikali imeendelea kufanya juhudu mbalimbali kuzuia ugonjwa huu kusambaa" amesema Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Ng'wilabuzu ...
Posted on: November 23rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija amewahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura siku ya uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
...
Posted on: November 18th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wakulima wa pamba mkoani humo kung'oa na kuchoma moto mazalia ya Pamba ya msimu uliopita kabla ya Septemba 15 ya kila mwaka ili kutoathiri ms...