Posted on: December 7th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba yaanza kutoa mbolea ya ruzuku kwa Wakulima waliojiandikisha. Zoezi hili limeanza kufanyika jana tarehe 7, Disemba 2022 katika ofisi za Idara ya Kilimo.
...
Posted on: December 4th, 2022
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga akiwa ameambatana na baadhi ya Wakuu wa Idara wamekagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya Sumve kinachotekelezwa k...
Posted on: December 4th, 2022
Kampeni ya Chanjo ya Polio imefanyika kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, zoezi hili pimefanyika kuanzia tarehe 1-4,Disemba 2022 ikiwa na lengo la kuwakinga watoto na ugonjwa wa kupooza.
...