Posted on: November 20th, 2019
Mvua iliyonyesha tarehe 19/11/2019 imesababisha hasara kwa wananchi na serikali kwa kuezua nyumba ya mwalimu na nyuma za wananchi katika vijiji vya Igunguhya na Mhalo wilayani Kwimba....
Posted on: November 8th, 2019
Mhe:Senyi Saimon Ngaga Mkuu wa wilaya ya Kwimba amewapongeza madiwani kwa kupitisha miradi mbalimbali na hivyo kurahisisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi kama ujenzi wa hospitali ya wilaya, vyum...
Posted on: November 7th, 2019
Waheshimiwa Madiwani ambao kata zao hazifanyi vizuri katika ukusanyaji wa mapato wametakiwa kusimamia na kufuatilia ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya halmashauri,haya yamesemwa katika baraza...