Posted on: October 30th, 2019
Kamati ya uchumi ilifanya ziara katika mnada wa Hungumalwa na kugundua wafanya biashara wa mahindi wanatumia vifaa visivyo sahihi kupimia nafaka .Katika ziara hiyo waheshimiwa madiwani waliwataka wafa...
Posted on: October 22nd, 2019
Walimu wakuu,waratibu elimu na watendaji wa kata na vijiji watakiwa kutoa maelezo kwa nini shule zao zimekua za mwisho kiwilaya katika matokeo ya darasa lasaba 2019,haya yamejikeza katika kikao cha wa...
Posted on: October 13th, 2019
Mhe:John Mongela Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi wote kujiandikisha ili wapate haki yakuchagua viongozi wa serikali za mitaa,uchaguzi utakaofanyika tarehe 24/11/2019....