Posted on: August 21st, 2019
Maafisa wasaidizi waandikishaji wa jimbo la kwimba na sumve waendelea na semina ya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia mfumo wa BVR,Wakishilikiana na Tume ya uchaguzi ya Taifa leo asubuh ndani ya uk...
Posted on: August 20th, 2019
Maafisa waandikishaji ngazi ya Kata za majimbo ya Kwimba na Sumve wamepatiwa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika ukumbi wa Halmashauri. Mafunzo hayo yametolewa na maafisa ...
Posted on: June 13th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Mheshimiwa Senyi Simon Ngaga aanza ziara ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika Ka...