Posted on: November 30th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi ameshauri viongozi wa dini watumike kufikisha elimu mbalimbali ikiwemo umuhimu wa chanjo ya polio kwa watoto.
Ameyasema hayo leo tarehe 30, Nov 2...
Posted on: November 14th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi amekemea tabia ya Wananchi kuvamia maeneo shule na kufanya shughuli za kilimo. Ameyàsema hayo leo tarehe 14, Novemba 2022 katika mkutano na Wananchi w...
Posted on: November 11th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amewaelekeza watendaji wa Kata na Vijiji kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa mapato kwa uaminifu.
Ameyaelekeza...