Posted on: September 13th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe Ng'wilabuzu Ludigija amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini wao kuhusu ugonjwa wa kipindupindu Dalili zake na namna ya kujikinga
...
Posted on: September 7th, 2024
Mkurugenzi wa mipango na sera kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Ndugu John Mihayo Cheyo ameipongeza shule ya Sekondari Bupamwa kwa kuongeza hali ya ufaulu wa kidato cha nne na kufuta ziro.
...
Posted on: September 5th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Dkt. Amon Mkoga amekabidhi Pikipiki tatu kwa Watendaji wa Kata za Iseni,Mwandu na Mwankulwe.Pikipiki hizo zimetolewa leo Septemba ...