Posted on: October 4th, 2023
Mheshimiwa Agrey Mwanri Balozi wa pamba Tanzania amewashauri wakulima wa zao la pamba kutokata tamaa ya kulima zao hilo kutokana na bei ya zao hilo kushuka hadi 1050 kwa mwaka huu 2023.
...
Posted on: September 29th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija ameendelea na ziara ya Kata hadi Kata kusikiliza malalamiko na kero za wananchi ambapo Leo Septemba 29,2023 amesikiliza kero za wananc...
Posted on: September 26th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija aendelea kutembelea Kata kwa Kata kusikiliza malalamiko na kero za wananchi.
Katika kuendeleza utaratibu huo Leo Septemba 26,2023 M...