Posted on: February 16th, 2022
Mheshimiwa Johari Mussa Samizi amefanya uzinduzi wa anwani za makazi kwa kubandika namba kwenye Nyumba na kuweka bango la kuonyesha jina la Mtaa au barabara. Zoezi hili limefanyika leo tarehe 16...
Posted on: February 11th, 2022
Ameyasema hayo leo tarehe 11/02/ 2022 kwenye Kongamano la Walimu wa kike,lililofanyika kwenye ukumbi wa Chama Cha Walimu Kwimba.
Katika kongamano hilo Mkuu wa Wilaya Mhe. Jo...
Posted on: February 8th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi leo tarehe 08/02/2022 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Maligisu kuchimca msingi wa majengo manne na nyumba ya Mganga moja kwaajili ya ukamilis...