Posted on: January 7th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robart Gabriel amepokea madarasa 109 yaliyojengwa kwa bilion 2.18 fedha za UVIKO-19 yakiwa yamekamilika. Akipokea madarasa hayo Mkuu wa Mkoa amewapongeza viongozi...
Posted on: December 23rd, 2021
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba Ndugu Nyakia Ally amefanya uzinduzi wa Kituo cha Taasisi ya Elimu ya watu wazima. Kituo hicho kimezinduliwa tarehe 22/12/2021 Katika Ukumbi wa Shule ya...
Posted on: December 9th, 2021
Baada ya Uhuru Taifa limepata maendeleo mengi ambapo Wilaya ya Kwimba nayo haikubaki nyuma kwani inaendelea kupata Maendeleo ya miundombinu mbalimbali ya sekta za Afya,Elimu,Barabara,Maji,Kilimo na me...