Posted on: November 29th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandis Robert Gabriel awataka wasimamizi wa ujenzi wa madarasa kuhakikisha wanajaza fomu za usimamizi wa vifaa vya ujenzi ili kudhibiti upotevu wa vifaa.
Mhan...
Posted on: November 13th, 2021
Ameyasema hayo leo tarehe 13,Novemba 2021 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu wakati akifunga kikao cha majumuisho ya zoezi la uhamasishaji wa kilimo bora cha pamba.
Mkuu wa Wilay...
Posted on: November 12th, 2021
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amewataka viongozi kuendelea kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa madarasa 109,Vituo vya Afya, madaraja na ujenzi wa matanki ya ...