Posted on: November 12th, 2021
Viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya wamefanya mahafali ya 44 ambapo katika mahafali hiyo jumla ya wanachuo 237 wamehitimu. Katika mahafali hiyo iliyofanyika tarehe 11/11/2021 ...
Posted on: November 10th, 2021
Mhe. Aggrey Mwanri akiendelea kutoa elimu ya kilimo bora cha Pamba katika vijiji vya Nyagh'onge, Sangu, Bupamwa, Kikubiji na Shirima leo tarehe 10/11/2921 amewaasa Wakulima kutochafua Pamba wakati wa ...
Posted on: November 9th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Samizi amewataka wakulima kutochanganya mazao mengine na Pamba. Ameyasema hayo jana tarehe 08/11/2021 baada ya kutoa Elimu ya kilimo cha Pamba kwa Wananchi wa...