Posted on: July 9th, 2021
Mbio maaalum za Mwenge wa Uhuru zinazokimbizwa na Luteni Josephine Paul Mwambashi Mkimbiza Mwenge Kitaifa akiwa na timu ya wakimbiza mwenge sita zimefika Wilaya ya Kwimba leo tarehe 9 Julai 2021...
Posted on: July 1st, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi amefanya Mkutano wa hadhara jana tarehe 30/06/2021 na Wananchi wa Kata ya Ngudu kwa lengo la kujitambulisha kwa Wananchi, aidha ameomba ushiriki...
Posted on: June 28th, 2021
Mhe. Johari Mussa Samizi Mkuu wa Wilaya ya Kwimba amefanya ziara leo tarehe 28,Juni 2021 katika Kata mbalimbali kukagua miradi ya maendeleo inayotarajiwa kufikiwa na mbio maaalum za Mwenge wa Uh...