Posted on: February 26th, 2022
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imepanda miti 6600 katika maeneo ya Taasisi na maeneo ya watu binafsi. Akiong...
Posted on: February 23rd, 2022
Wananchi wa Kijiji cha Maligisu washauriwa kupanda miti ili kutunza mazingira yanayowazunguka kwa faida ya sasa na badae. Ameyasema Mheshimiwa Johari Samizi Mkuu wa Wilaya ya Kwimba leo ta...
Posted on: February 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi ametembelea mashamba ya Pamba kuona kama Wakulima walifanyia kazi Elimu waliyopewa ya kilimo bora cha Pamba, iliyotolewa na Balozi wa P...