Posted on: December 8th, 2022
Kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imefanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupanda miti 5000 kwenye maeneo mbalimbali ya watu...
Posted on: December 7th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness J. Msanga amewataka Walimu Wakuu kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza kazi zao.
...
Posted on: December 7th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba yaanza kutoa mbolea ya ruzuku kwa Wakulima waliojiandikisha. Zoezi hili limeanza kufanyika jana tarehe 7, Disemba 2022 katika ofisi za Idara ya Kilimo.
...