Posted on: March 26th, 2020
Idara ya Afya imetoa elimu ya ugonjwa wa corona kwa watumishi wa makao makuu ya halmashauri ya Kwimba.Elimu hiyo imetolewa na Afisa Afya Silas Mboje katika ukumbi wa halmashauri, mtoa elimu ameelezea ...
Posted on: March 16th, 2020
Kamati ya uchumu ya Wilaya imefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo ikiwemo vikundi vinavyopewa mikopo isiyo na riba na Halmashauri yaani vijana,wanawake na walemavu.Katika ziara hiyo kamati imekish...
Posted on: March 9th, 2020
Shirika la Agriteam health Tanzania lenye mradi wa MAMA NA MTOTO limekabidhi jengo moja la Zahanati lenye jumla ya vyumba 11 kwa ajili ya matumizi ya huduma za kiafya na Nyumba moja ya kuishi watumish...