Posted on: February 28th, 2020
Kamati ya siasa ya Mkoa imekagua miradi mbalimbali yakiwemo majengo ya shule ya Msingi Inala,mabweni ya shule ya sekondari Sumve, stendi ya Hungumalwa na Ngudu,na Hospitali ya ngudu na kituo cha Afya ...
Posted on: February 18th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe: Senyi S.Ngaga amefanya ziara ya kikazi kuwasikiliza wananchi mahitaji na changamoto zinazowakabili katika Tarafa ya Nyamilama,amebain uhaba wa madawati katika shule ya Ms...
Posted on: February 15th, 2020
Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mhe: Senyi S Ngaga awataka AMCOS ( Agricultural Marketing Cooperative Society )kulipa pesa za wakulima kwa wakati pindi tu pesa inapowekwa kwenye akaunti na amewaonya viongozi...