Posted on: February 12th, 2020
Serikali yatoa kiasi cha shilingi 329,544,000 kwa ajili ya kuwezesha kaya maskini 8837 za wilayani Kwimba. Zoezi la ugawaji wa pesa hizo umefanyika chini ya mfuko wa TASAF katika maeneo mbalimbali ya ...
Posted on: February 11th, 2020
Lishe bora kwa watoto na wanawake wajawazito itasaidia kupunguza udumavu wa watoto, haya yamesemwa na muwakilishi wa shirika la mtoto mwelevu, katika kikao cha kamati ya lishe kilichofanyika tarehe 11...
Posted on: February 3rd, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imenunua shamba la miti lenye ukubwa wa mita za ujazo 100 huko Buhindi Wilayani Buchosa kwa ajili ya kukata magogo na kuchana mbao za kutengenezea madawati yasiyopungua...