Posted on: December 23rd, 2021
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba Ndugu Nyakia Ally amefanya uzinduzi wa Kituo cha Taasisi ya Elimu ya watu wazima. Kituo hicho kimezinduliwa tarehe 22/12/2021 Katika Ukumbi wa Shule ya...
Posted on: December 9th, 2021
Baada ya Uhuru Taifa limepata maendeleo mengi ambapo Wilaya ya Kwimba nayo haikubaki nyuma kwani inaendelea kupata Maendeleo ya miundombinu mbalimbali ya sekta za Afya,Elimu,Barabara,Maji,Kilimo na me...
Posted on: December 2nd, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi awataka wazazi wote kuwanyonyesha watoto kwa miezi sita ya mwanzo bila kuwapatia chakula kingine.
Ameyasema hayo leo tarehe 02,Disemba...