Posted on: October 9th, 2020
Mgeni rasmi Ndug.Nyakia Ally Katibu tawala wilaya akihutubia katika mahafali ya kidato cha nne Shule ya Sekondari Bupamwa tarehe 09/10/2020 amesema pamoja na shule kupokea milioni 80 kwa ajili y...
Posted on: October 7th, 2020
Akifungua mafunzo Ndug. Joshua Mgoli Afisa Utumishi(W) amesema MADENIMS (MADENI MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM) ni mfumo wa kuingiza madeni yasiyo ya mshahara kwa kada ya walimu,mfumo huu unamuwe...
Posted on: October 2nd, 2020
Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wanaonufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini (TASSAF III) wameishukuru serikali kwa kuwapatia fedha za kujikimu kimaisha ,wananchi hao wamesema fedha walizopata zinawas...